Habari za Punde

*OMAN YAZINDUA HUDUMA YA USAFIRI WA NDEGE NCHINI, YAANZA KUTOA HUDUMA LEO

Ndege ya Kampuni ya Oman Air ikiwa angani...

Ofisa Mkuu wa Masuala ya Kampuni ya ndege ya Oman ‘Oman Air’, Philippe Georgiau, akizungumza na waandhi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa ufunguzi rsmi wa Ndege za kampuni hiyo zilizoanza kutoa huduma za usafiri leo, kutokana na kuvutiwa na Uwekezaji na Utalii wa nchini, ambapo ndege hizo tayari zimeanza kutoa huduma ya usafiri hapa nchini leo kuelekea Oman na kwingineko. Kushoto ni Meneja Masoko Mkuu wa Kampuni hiyo, Moammed Al Shikely. Nyuma ni baadhi ya warembo ambao ni wahudumu wa ndege hizo.

Mkutano na waandishi wa habari ukiendelea....

Ofisa Mkuu wa Masuala ya Kampuni ya ndege ya Oman ‘Oman Air’, Philippe Georgiau (katikati) akipozi na wahudumu wa ndege hizo kutoka (kushoto) ni Ngwe Phyu Zar Ye Htoon, Sumika Bajrachary (Nepal) , Moushakhe Das (India) na Suhaila Al-Ismaili, baada ya mkutano huo.

Hii ndiyo hasa ndege yenyewe......ikiwa angani..





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.