Habari za Punde

*BREAKING NYUUUUZI...MCHEZO WA KIRAFIKI BRAZIL NA ZIMBABWE

Brazil anaongoza 2-0 katika mchezo wa kirafiki baina yao na Zimbabwe, hadi sasa mpira ni mapumziko Brazil ikimaliza kipindi hicho cha kwanza ikiwa mbele kwa mabao 2, ambapo goli la kwanza limefungwa na Bastus katika dakika ya 42 na goli la pili likifungwa na Robinho.
Zimbabwe watajilaumu kwa kukosa magoli mawili ya wazi katika dakika za mwanzo za mchezo huo katika kipindi cha kwanza.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.