Habari za Punde

*KENYA YAADHIMISHA MIAKA 47 YA MADARAKA

Rais wa Kenya, Mwai Kibaki, akiingia uwanjani wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya sikukuu ya madaraka ziliyofanyika leo kwenye uwanja wa Nyayo jijini Nairobi.
Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya sikukuu ya madaraka ziliyofanyika leo jijini Nairobi.
Askari Polisi wa kikosi cha mbwa, wakitoa heshima kwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki, wakati wakipita mbele ya mgeni rasmi huyo, (hayupo pichani)

Wasanii wa Kikundi cha Ngoma za asli cha Kenya kikitoa burudani uwanjani hapo.

Askari wa Jeshi la Kenya wakitoa salamu za heshima kwa Rais Mwai Kibaki akiwa jukwaani wakati wakicheza gwaride la sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya sikukuu ya madaraka ziliyofanyika jana katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi.

Askari wa Bendi ya Jeshi la Kenya wakitoa salamu za heshima kwa Rais Mwai Kibaki wakati wa sherehe hizo. Picha na Anna Nkinda-MAELEZO





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.