Menu

Friday, June 18, 2010

*KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani, akijibu baadhi ya hoja za Wabunge waliochangia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bungeni Mjini Dodoma leo. Picha na Ofisi ya Waziri MKuu.
Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo akifuatilia michango ya wabunge waliochangia hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bungeni Mjini Dodoma leo.


No comments:

Post a Comment