
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Evance Balama, akikabidhi funguo za Matrekta Mwakilishi wa Wakulima, Irene Mlawa, kwa niaba ya wakulima wadogo wa mkoani Mbeya, wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo iliyofanyika mkoani humo leo mchana.
Picha na Upendo Fundisha.
No comments:
Post a Comment