Habari za Punde

*WATOTO WACHUANA KATIKA MASHINDANO YA KUOGELEA YA VODACOM TANZANIA CHAMPION

Katibu Mkuu wa Chama cha kuogelea Tanzania, Noel Kiunsi, akimpongeza mtoto Amal Bulengo, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa mita 100 katika mashindano ya wazi ya kuogelea ya Vodacom Tanzania championi kwa upande wa wavulana, yaliyowashirikisha watoto wa kike na wakiume kwa lengo la kufufua na kuendeleza vipaji vya watoto hapa nchini yaliyofanyika leo jijini Dares salaam. Katikati ni mshindi wa pili, Rishi Somaiya.
Mshindi wa kwanza katika mashindano ya kuogelea kwa upande wa wasichana, Sonia Tumitto(katikati) washindi wenzake Dhashrrad Magesraran( kushoto) na Reine Opperman, wakipozi na zawadi zao baada ya kukabidhiwa kwa ushindi wa mashindano hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

Baadhi ya waogeleaji wakichumpa kwa kuanza shindano la kuogenea kwa staili ya kinyumenyume katika mashindano ya wazi ya kuogelea ya Vodacom Tanzania champion yaliyowashirikisha vijana.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.