Meneja Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Bayport Financial Services, Ngula Cheyo, akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi wa huduma ya ‘The Bayport University Scholarship’ ambayo ni maalum kwa ajili ya Familia za watumishi wa Serikali, ambapo tayari Kampuni hiyo imeshatoa huduma zake kwa wateja zaidi ya 300,000 Barani Afrika, katika Matawi 235 na wafanyakazi 2500.
Kimataifa : Rais Dkt. Samia Kufanya Ziara ya Kihistoria ya Kitaifa Nchini
Urusi, Kushiriki Jukwaa la SPIEF 2026
-
Wazalendo 25 Blog , is a Social Media which gives our Audience current
News, Entertainment and Advertisements.
7 hours ago
No comments:
Post a Comment