Habari za Punde

*SHINDANO LA MISS 'HIGHER LEARNING' KUFANYIKA JULAI 22

Warembo wanaotarajia kuwania Taji la Miss Higher Learning, wakiwa katika mazoezi ya pamoja kwenye Ukumbi wa Club Billicanas, ya kujiandaa na shindano hilo linalotarajia kufanyika Julai 22 mwaka huu kwenye Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.