Mwenyeki wa CHADEMA,Freeman Mbowe (kulia) akimkabidhi vitabu vya Ilani ya chama hicho, mgombea Urais kupitia tiketi ya chama hicho, Willbrod Slaa wakati wa Mkutano wa uzinduzi huo uliofanyika kwenye Viwanja vya Jangwani Jijini Dar es Salaam leo jioni.
Aliyekuwa mwanachama wa CCM na Mbunge wa Jimbo la Maswa, aliyekipa kisogo Chama hicho na kutimkia CHADEMA,John Shibuda, akizungumza mbele ya hadhala ya wananchi waliokusanyika kwenye Viwanja vya Jangwani leo jioni wakati wa uzinduzi wa Ilani ya CHADEMA, iliyokuwa sambamba na kuzindua kampeni za chama hicho.
No comments:
Post a Comment