Habari za Punde

*DK. GHARIB BILAL, KUANZA KUUNGURUMA MTWARA VIJIJINI KESHO

Mgombea Mwenza, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimwaga sera na kuinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi wakati alipokuwa akiwahutubia wananchi wa Mtwara jana. Bilal kesho asubuhi anatarajia kuanza kufanya ziara yake katika vijiji vya Mkoa wa Mtwara na kuhutubia wananchi ikiwa ni pamoja na kuwanadi wagombea uongozi wa Ubunge, Udiwani na Urais wanaowania nafasi hizo kupitia Tiketi za CCM.
Dk. Bilal, akiondoka kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Mtwara jana baada ya kumaliza mkutano wa kampeni.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.