Mgombea Mwenza Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipita katikati ya chipukizi baada ya kupokelewa katika mpaka wa Wilaya ya Mtwara Mjini na Tandahimba Mkoa wa Mtwara, wakati akiwa kwenye ziara yake ya mikutano ya kampeni leo mchana.
Mgombea Mwenza wa nafasi ya urais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Wananchi wo Kijiji cha Nanguruwe Wilaya ya Mtwara Vijijini baada ya kusimama eneo hilo, wakati aha akielekea Kijiji cha Ntiniko katika mkutano wa kunadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi leo mchana.
Mgombea Mwenza Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo mchana Agost 29 katika Kijiji cha Ntiniko Wilaya ya Mtwara Vijijini Mkoa wa Mtwara.
Dk. Bilal, akivishwa Skafu na Kamanda wa Chipukizi wa Kijiji cha Miuta Kata ya Miuta, wakati akingia mpakani mwa Wilaya ya Mtwara mjini na Tandahimba leo mchana.
No comments:
Post a Comment