Habari za Punde

*HATA WACHINA HUSIKILIZA SERA ZA WAGOMBEA

Mwalimu wa Kidato cha kwanza na cha pili wa Shule ya Sekondari Lukuled, Tomoko Ada Chi, Raia wa Japan, akiwa ni mmoja kati ya wananchi wa Kijiji cha Lukuledi Wilaya ya Masasi Mkoa wa Mtwara, waliojitokeza kumsikiliza mgombea Mwenza Dk. Mohamed Gharib Bilal, alipokuwa akiwahutubia wananchi hao na kuwanadi wagombea Ubunge wa Jimbo la Lulindi na Bwanausi Dismas na Mariam Kasembe wa Jimbo la Masasi hivi karibuni.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.