Habari za Punde

*FM ACADEMIA KUZINDUZ VUTA NIKUVUTE IDD MOSI

Rais wa Bendi ya FM Academia Nyoshi El- Saadat (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana kuhusu uzinduzi wa Album yao ya sita, ijulikanayo kama Vuta Nikuvute. Uzinduzi huo unatarajia kufanyika siku ya Idd Mosi katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. Kushoto ni Meneja wa Bendi hiyo Mujib Khamis na Ofisa Habari wa Idara ya Habari Zahra Majid. Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.