Ebwana wachaga kwa biashara ni noma wanavyochanganya bidhaa hebu soma Tangazo hili
KARIBU KWA MANGI UJIPATIE:
1. Sukari,mayai,baiskeli2. kanga,pilau,walikuku
3. sambusa,tairi za trekta
4. madaftari na bia aina zote
5. petroli,matunda,nazi
6. vitumbua,mitumba grade one
7. supu ya utumbo,mabati,vocha
8. mtego wa panya,pembejeo
9. makabati ya nguo,kompyuta
10. juisi na mbogamboga
11. mahindi ya kuchoma,bajaji,simenti1
2. leso,vyumba vya wageni na vyuma chakavu
KARIBUNIEE!!!!!!!
KARIBUNIEE!!!!!!!
Sasa Mdau ukikuta duka lililochanganya bidha kama namna hii utahitaji bidhaa gani au utabaki kushangaa tu na kuondoka????
No comments:
Post a Comment