Habari za Punde

*MISS UNIVERSE TANZANIA NDANI YA KAMBI YA DUNIA MAREKANI

Mrembo anayeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Dunia 'Miss Universe Tanzania' Hellen Dausen (katikati) akiwa na warembo wenzake washiriki wa mashindano hayo ya dunia kutoka nchi mbalimbali katika kambi ya Dunia nchini Marekani , Miss Ubelgiji (mbele) Puerto Rico (nyuma) na wakijiandaa na mashindano hayo yanayotarajia kufanyika Agost 23 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.