Habari za Punde

*WIKI YA NENDA KWA USALAMA..

Eti ni nani kati ya hawa ajajua vyema sheria ya usalama Barabarani?
Sasa Mbona Mpiga picha ndiyo anamuelekeza Trafic?

Mpiga picha wa gazeti hili Michael Machellah (katikati) akimfafanulia jambo askari wa usalama barabarani baada ya kulikamata gari lililokuwa limekodishwa kubeba waandishi wa habari wa Kampuni ya New Habari kuelekea mjini. Askari huyo alikamata gari hilo na kumuamuru dereva kugeuza gari na kurudi alikotoka kwa kile alichodai hakupewa taarifa ya gari hilo kukodishwa na kupita njia hiyo, jambo ambalo lilisababisha msongamano wa magari mahala hapo.

Na hii nayo ya wapi? cheki mshikaki huu je Bongo inakubalika? Hapa ni bora safari na bora Maisha.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.