Habari za Punde

*MPIGANAJI LETCYA KAIJAGE HATUNAYE TENA DUNIANI

Mpiganaji Letcya Kaijage enzi za uhai wake.
Waombolezaji, ndugu jamaa, marafiki na waliokuwa wafanyakazi wenzake katika makampuni mbalimbali wakiwa katika msiba huo.
Hawa pia ni miongoni mwa waatu waliwahi kufanya naye kazi katika ofisi moja ya PR iliyopo jengo la PPF Tower Posta Mpya jijini Dar es Salaam, wakiwa katika msiba huo.
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa na huzuni.....
Jeneza lenye mwili wa marehemu....
Waombolezaji wakiga mwili wakati wa zoezi hilo kabla ya kupakiwa katika gari tayari kwa safari ya kuelekea Kijijini kwa Marehemu Nyakigando Kata ya Kaibanja wilaya ya Bukoba Vijijini kwa maziko.
Marafiki wa karibu na marehemu ambao pia walikuwa ni wafanyakazi wenzake katika Kampuni ya Simu za mkononi Zain,Celine Njuju (kushoto) na Betrice Singano wakilia kwa uchungu baada ya kushindwa kujizua na kujikuta wakibubujikwa na machozi muda wote kwa kuondokewa na mwenzi wao.
Mwili ukiingizwa katika gari na baadhi ya waombolezaji tayari kwa safari ya kwenda uwanja wa ndege ili kuweza kusafirisha mwili wa marehemu kwenda kijijini kwao Nyakigando Kata ya Kaibanja Wilaya ya Bukoba Vijijni kwa mazishi.









No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.