Habari za Punde

*MWAKALEBELA NA MKEWE WALIPOTINGA MAHAKAMANI JANA

Aliyekuwa mgombe ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia tiketi ya CCM, Frederick Mwakalebele (wapili kulia) na mkewe (suti nyeupe) wakitinga kwenye Mahakama ya Mkoa wa Iringa jana kwa ajili ya kusikiliza kesi inayowakabili. Kesi hiyo iliahirishwa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.