Habari za Punde

*VIMBWANGA VYA KAMPENI

"Hapa sitoi jicho hadi nipate picha yake" Kada wa CCM wa Kijiji cha Chekereni Wilaya ya Moshi Vijijini akijitahidi kupata picha ya mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal kwa kutumia kamera ya naniliu ambapo alitumia muda hadi kupata anachokihitaji wakati mgombea huyo akiwa jukwaani katika mkutano wa kampeni leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.