Habari za Punde

*MAANDALIZI YA SIKUKUU YA KRISMAS DAR

Wakazi wa jijini Dar es Salaam, wakiwa ndani ya duka la Tahfif Kariakoo leo mchana wakati wakitafuta mahitaji mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Sikukuu ya Krismas inayosherehekewa Desemba 25 kila mwaka duniani kote.
Hii yote ni sehemu ya maandalizi ya Sikukuu hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.