Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Dodoma leo, kwa ajili ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete ikiwa ni maandaliazi ya kuunda Serikali mpya ya awamu ya pili ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete, ambapo kesho inatarajiwa kutajwa jina la Waziri Mkuu.
Makamu wa Rais Dk Bilal, akisalimiana na mmoja wa maofisa wa mkoani humo, Baraza.
No comments:
Post a Comment