Habari za Punde

*ZAIN YAZINDUA JINA JIPYA, SASA KUITWA airtel

Logo mpya ya Kampuni ya simu za mkononi ya iliyokuwa Zain, ambayo kwa sasa imebadli jina na kuitwa airtel.
Mkurugenzi wa kampuni mpya ya simu za mkononi, airtel, Sam Elangalloor (katikati), Ofisa Mkuu wa Maendeleo ya Biashara Africa, Steve Torode (kushoto) na Mkurugenzi Masoko wa kampuni hiyo, Cheikh Sarr, wakiangalia ‘logo’ mpya ya kampuni hiyo iliyobadilishwa kutoka Zain na kuitwa airtel, wakati wa uzinduzi wa jina hilo jipya litakaloanza kutumika hivi karibuni. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Kmapuni hiyo, Sam Elangaloor, akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi huo.
Mkurugenzi Masoko wa Kampuni hiyo, Cheikh Sarr, akifafanua jambo wakati wa uzinduzi huo.
Viongozi hao wakiiandaa kujibu maswali ya waandishi wa habari baada ya uzinduzi huo.





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.