Habari za Punde

*HONGERA CHRISTINA ELIAS, KUPATA KIPAIMARA

Mwanafunzi aliyehitimu Darasa la saba mwaka huu, Christina Elias (katikati) akiwa na wenzake wakati wakisubiri kuingia Kanisani katika Ibada ya Kipaimara iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Kiluvya jana na baadaye kufuatiwa na sherehe iliyofanyika nyumbani kwa Bibi yake Ester maarufu kama Mama Magereza Kiluvya kwa Komba.
Hawa ni watoto wote waliopata Kipaimara katika kanisa hilo jana, wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuingia kanisani katika ibada.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.