Habari za Punde

*OMBAOMBA NA WATOTO WA MTAANI WASOTA GETINI KUMSUBIRI MENGI

Baadhi ya Ombaomba na Watoto wa mtaani wanaoshinda katika Mitaa ya Posta Mpya, wakiwa nje ya geti la kuingilia jengo la Hidary Plaza Sposta Mpya, wakimsubiri Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi ili aweze kuwapatia msaada wa Sikukuu leo mchana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.