Habari za Punde

*WABONGO WAANDAA WIMBO WA MERRY CHRISMAS AND NEW YEAR


Vijana saba wa Kibongo kupitia Kampuni ya UMABE, wametunga na kurekodi wimbo maalum wa Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya ikiwa ni sehemu ya kuwapa watanzania raha na furaha ya kusherehekea sikukuu hizo huku wakifurahi na burudani ya wazawa Watanzania.
Unaweza kuusikiliza wimbo huo kupitia Linki hii hapa chini ambapo video ya wimbo huo inatarajia kukamilika hivi karibuni.
Link yenye wimbo: http://www.youtube.com/watch?v=ZbYflJbpHL4
SONG: MERRY CHRISTIMASS AND HAPPY NEW YEAR BY UMABE COMPANY (AUDIO)
ARTIST: Ndyamukama, Kajubi, Kita, Azma, Sir J, Lady Shani & G Fulla
UMABE GENERAL MANAGER: AZMA MPONDA
PROJECT AND DESIGN MANAGER: FREDY NJEJE
PRODUCED BY: KITA (PRODUCTION MANAGER)STUDIO: RAMA RECORDS
COUNTRY:TANZANIA
+255712738888
+60123490059MAY GOD BLESS U ALL!! PAMOJA SANA.
EMAIL:
azmamponda@gmail.com &umabe2010@yahoo.com
fredynjeje@gmail.com & sirfrenjeii@yahoo.com
WEBSITE:
http://umabeartscompany.blogspot.com/
Video ya wimbo huu itapatikana soon

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.