Habari za Punde

*RAIS JAKAYA AKABIDHI TUZO ZA CTI KWA WASHINDI LEO

Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi zawadi ya Kombe Meneja Msaidizi wa Kampuni ya Bakhesa Food Production, Husein Sufiani, wakati wa hafla ya kukabidhi Tuzo za Rais kwa wenye viwanda waliofanya vizuri Tanzania 2010, zilizofadhiliwa na benki ya NMB. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo mchana kwenye ukumbi wa Hoteli ya Moven Pick. Kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo wa Nje wa Kampuni hiyo, Christoms Shani.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.