Mshambuliaji wa timu ya Azam ya jijini Dar es Salaam, Mrisho Ngasa (kushoto) akipiga krosi mbele ya beki wa AFC ya Arusha, Mohamed Upato, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania bara uliochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Uhuru. Azam imeshinda mabao 5-1 na hivyo kutimiza jumla ya Point 26, wakiwa nyuma Simba kwa tofauti ya pointi 1 tu na Mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu uliopita. Golikipa na Mabeki wa AFC ya Arusha, wakijaribu kuokoa mpira uliopigwa na Mrisho Ngasa , bila mafanikio na kutinga wavuni na kuandika bao la 4, wakati wa mchezo huo.
TANZANIA KUANDAA WORLD TRAVEL AWARDS 2025 KWA BARA LA AFRIKA – DKT ABBASI
-
Na John Mapepele
Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amesema Tanzania
inakwenda kuandaa Tuzo za Utalii duniani (World Travel Awards, W...
18 minutes ago
No comments:
Post a Comment