Habari za Punde

*BALOZI WA KOREA NA MBUNGE WAKE WAKABIDHI MSAADA WA MIPIRA 200 KWA VIJANA NCHINI

Balozi wa Korea nchini, Young-Hoon Kim, akimkabidhi sehemu ya msaada wa mipira 200,yenye thamani ya Sh. milioni 6, Mahmud Hamis, wa timu ya watoto, ikiwa ni kwa ajili ya Maendeleo ya Michezo katika Jamii. Msaada huo uliokabidhiwa jijini Dar es Salaam leo, umetolewa na Mbunge wa Korea Kusini, Yoon-Sun Cho (kushoto). Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Juliana Yasoda na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania BMT, Kanal Idd Kipingu.
Wakiwa katika picha ya pamoja baada ya zoezi hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.