MAISHA YANAENDELEA, hapa katika Ufukwe wa Bahari ya Hindi, kwwenye Soko la Kivukoni, hawa ni wavuvu, wafanyabiashara wa samaki na watu wengine wanaojitafuti riziki kupitia eneo hilo wakichakarika.
Wachuuzi wa samaki, wakiwa kwenye Soko la Kivukoni baadhi yao wakiwa wameuchapa usingizi, wakati wakisubiri Samaki.i
HADI IBOMOKE???
Hii ni moja ya alama inayotumika kuwaongoza wenye vyombo vikubwa Baharini ili visipite nje ya alama hii, hapa inaonekana ikiwa imeanza kubomoka je wahusika mko wapi kufanya marekebisho kabla ya kubomoka?
Pweza Pweza Pweza! Kijana mfanyabishara wa Pweza wa kukaanga, akisubiri wateja wake katika Kituo cha Daladala cha Kivukoni leo mchana, hata hivyo mfanyabiashara huyo alionekana kutojali zaidi usafi na afya ya walaji wake kutokana na kutowafunika pweza hao ili kuepuka vumbi na Nzi.
AJALI......
Daladala linalofanya safari zake Msasani Ubungo, likiwa limetumbukia kwenye Mtaro eneo la Magomeni Moroco Hoteli leo asubuhi. Gari hilo lililotumbukia kwenye mtaro huo upande wa pili wa barabara imeelezwa kuwa lilikuwa na abiria na kwamba lilifeli Breki ghafla na dereva wa gari hilo kuamua kujisalimisha kwa namna hiyo.
ABIRIA KWENYE USAFIRI WA JAMII HASIRA ZA NINI?
Abiria kiwa katika Daladala la Mbagala Mwenge, huku akionyesha kuwa na hasira kiasi cha kutozungumza hata na abiria mwenzake aliyeketi naye, Hasira za nyumba hadi kwenye usafiri wa Jamii?????
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment