Habari za Punde

*BASI LA ABOOD LAGONGA PIKIPIKI NA KUUA WAWILI KIBAHA

Basi la Abood lenye namba za usajiri T 588 AYM, likiwa limepinduka eneo la Tamco Kibaha Mkowa Pwani, leo baada ya kuigonga pikipiki yenye namba za usajili T 616 BLF na kusababisha vifo vya watu wawili. Picha na Mpigapicha Wetu Kibaha
Wananchi wakiangalia basi hilo lililogonga Pikipiki na kusavy watu wawili leo eneo la Kibaha Mkoa wa Pwani.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.