Na Francis Godwin, Iringa
Mwendesha piki piki mmoja mkazi wa Izazi Mtera wilaya ya Iringa vijijini aliyefahamika kwa jina moja la Ilomo, amefariki dunia papo hapo baada ya kugongana uso kwa uso na mwendesha baiskeli aliyetambuliwa kwa jina la Yusuph Moyo, ambaye amejeruhiwa vibaya kwa kuvunjika miguu yake na mkono.
Ajali hii imetokea jana usiku majira ya saa 3 katika eneo la uwanja wa ndege Nduli, wakati mwendesha pikipiki huyo akitokea Mtera kuja Iringa mjini na mwendesha baiskeli huyo akitokea Mjini.

No comments:
Post a Comment