Abiria wakipita kwa tabu katika madimbwi ya maji kuingia kwenye mabasi ya abiria katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Makambako wilaya ya Njombe Mkoa wa Iringa. Stendi hii imezidi kuwa kero kwa wakazi wa Iringa wanaotumia Stendi hiyo kutokana na kujaa maji na hasa nyakati za kipindi cha mvua kutokana na kuharibika kwa eneo hilo ambalo limefanyiwa ukarabati na Mkandarasi aliyeifanya kazi hiyo chini ya kiwani na kuikamilisha siku za hivi karibuni. Picha na Francis Godwin
Eneo hilo likiwa limeharibika baada ya kufanyiwa ukarabati ambao haukuchukua muda mrefu kuharibika kama hivi.
No comments:
Post a Comment