Harudi mtu Kijijini Hapa, Tutabanana humuhuku kwa Lukuvi hadi kieleweke.
Pamoja na kelele zote na kuwahamasisha wananchi kutojenga katika maeneo yanayoja maji, ili kuepuka maafa na hasa nyakati zaMvua za Masika kama Jangwani na kwingineko, lakini bado wananchi wamekuwawabishi na kuendelea kujenga nakuimarisha maene yao yaliyopo katika sehemu za Bonde laMpunga ambazo mara kadhaa maeneo hay yaekuwayakijaa maji na kusababisha wakazi wa maeneo hayo kuathirika ama kuhama maeneo yao.
POLISI NGARA WAWAFIKIA WATOTO YATIMA KUPITIA VITUO VYA MALEZI
-
Jeshi la Polisi Wilaya ya Ngara, Mkoa wa Kagera, limeendelea kuwafikia
wananchi na makundi mbalimbali yenye uhitaji katika jamii kwa lengo la
kuimarisha ...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment