JIJI la Arusha hali si shwari baada ya askari wa kutuliza ghasia kufyatua risasi za moto na kutupa mabomu ya machozi katika maeneo ya Kata ya Kati mjini na kusababisha wakazi wa mitaa na maeneo ya stand kutokwa na machozi hovyo na wengine kufunga maduka huku vilio vya watoto wadogo vikitawala.
Mabomu hayo yaliendelea kulipuliwa katika maeoe kadhaa kuanzia saa 6 mchana hadi saa 11 jioni, hatua ambayo ilisababisha shughuli zote za maendeleo, wasafiri, watoto waliokuwa wanakwenda shule kusitisha huduma zote.

No comments:
Post a Comment