Bingwa mpya wa Ligi ya Mabingwa, Kanda Kabongo, kutoka Tanzania akionyesha Ngao yake aliyokabidhiwa baada ya kuibuka mshindi katika Fainali za Ligi ya Mabingwa iliyoshirikisha nchi nne katika mchezo wa Kick Boxer, baada ya kumchakaza mpinzania wake, Golola Moses wa Uganda kwa poiny katika fainali hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jana usiku.
Mbunge wa Kinondoni, Idd Azan (kushoto) akimkabidhi Tuzo, Bondia Kanda Kabongo, baada ya kuibuka mshindi katika fainali ya Ligi ya Mabingwa ya mchezo wa Kick Boxer, iliyofanyika jana kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee. Kabongo aliibuka mshindi baada ya kumtwanga, Golola Moses wa Uganda kwa Point.
Hawa jamaa ni Mabondia wa Havy Waight, Mchumiatumbo (kushoto) akichapana na Eddie, katika pambano lao utangulizi la raundi sita. Katika mchezo huu Mchumiatumbo alishinda kwa Knoe Count katika raundi ya nne.
"Mawe yakiendelea ulingoni....katika fainali ya Kick Boxer baina ya Golola na Kabongo"
Kanda Kabongo (kushoto) akipelekeana makonde mazito na mpinzani wake Golola.
Chaliiiiii Pwaaaaa!
Hapa Golola alionekana dhahili kuzidiwa na kuamua kukumbatia tumuda wote kama hivi.
Chaliiiii tena Pwaaaaa!
Chaliiii Tena hapa akijitahidi kuinuka baada konde zito lililompeleka tena chini.
Mbunge wa Kinondoni, Idd Azan, akiwa kwenye Meza kuu wakati alipokuwa mgeni rasmi katika fainali.
Bondia akiwa chini baada ya kuumia pua na kutoendelea na mpambano.
Akishughulikiwa kwa huduma ya kwanza.
Akishonwa pua na Daktari baada ya kuumia.
Robo Fainali kati ya Kelvin wa Uganda (kulia) na Mrisho Damme wa Tanzania, Kelvin alishinda na kutinga hatua ya nusu fainali.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
NI SIMBA QUEENS MABINGWA LIGI YA WANAWAKE TZ BARA
-
TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka ya
Wanawake Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Mashujaa
Queens jion...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment