Kocha Mkuu wa timu ya Waandishi wa habari za Michezo Tanzania TASWA FC, Ibrahim Maestro, akiwa na wachezaji wa timu hiyo baada ya kuwasili kwenye Bandari ya Zanzibar leo mchana kwa ajili ya kucheza na Baraza la Wawakilishi, mchezo unaotarajia kuchezwa kesho jioni kwenye Uwanja wa Amani kabla mchezo wa fainali wa Kombe la Mapinduzi, ikiwa ni maalum kwa ajili ya Sherehe za Mapinduzi zinazoazimishwa kesho mjini hapa.
DAKIKA 120 ZA KUENJOY NA VITUKO NDANI YA BOTI DAR TO ZENJI
DAKIKA 120 ZA KUENJOY NA VITUKO NDANI YA BOTI DAR TO ZENJI
Yes! Mtasha kazimika na Sufianimafoto na Mziki mzima wa Taswa na kuamua kupozi kwa picha ya kumbukumbu hapa...ni mtoto kutoka nchini Hungary, alikuwa akielekea Zenji katika maetembezi ya Tour kujionea mji wa Zanzibar na Vivutio vyake akitokea jijini Dar na hapa mapozi yalianzia Chomboni tu Mazee. Eeeh! Hapa ni baadhi ya wachezaji wa TASWA FC, wakijichanganya na Raia hapa wakiwa eneo la mbele ya Boto ya Kilimanjaro ili kupata upepo.
Mtoto ya Kihungary akipozi na mshkaji wake kutoka Uganda, wote wakiwa ni wasafiri njia moja kuelekea Zenji kiutalii zaidi.
No comments:
Post a Comment