Kibajaji kikiteketea kwa moto katika eneo la Mwenge nje ya kituo cha daladala jijini Dar es Salaam jana, chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mara moja kutokana na Bajaji hiyo kuanza kuwaka moto yenywe taratibu, hadi kuteketea chote
UCHAGUZI CCM TANGA:MWANAFA AMPIGIA DEBE USTADH RAJAB
-
📍Awaonya wajumbe wasifanye ushabiki wa Messi na Ronaldo
Na Mashaka Mhando, Muheza.
MBUNGE wa Jimbo la Muheza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari Utama...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment