Daladala zinazofanya safari zake katika Jiji la Dar es Salaam, zikiwa zimesongamana katika Kituo cha Ubungo, jambo ambalo linasababisha foleni kubwa wakati wa daladala hizo zinapotoka kituoni hapo. Serikali imejitahidi kujenga kituo hicho lakini bado inahitajika busara nyingine ya kufikiri ni wapi kinaweza kujengwa kituo hicho ambacho angalau kitaweza kumudu ongezeko la magari linalozidi kukuwa kila kukicha na tena sidhani kama maeneo ya katikati ya mji kama hivi yataweza kufaa, haya ni mawazo yangu tu jamani.
TGNP Yaendesha Mafunzo ya Uongozi kwa Wanafunzi wa Kike kutoka Vyuo Vikuu
13 Nchini
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP), kupitia jukwaa la Young Feminist Forum,
wameendesha mafunzo kwa wanafunzi wa kike kuto...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment