Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kulia) na Naibu wake, Adama Malima (katikati) wakisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa wahusika wanaosimamia kifaa maalum cha kudhibiti wezi wa Umeme wakati alipotembelea na kukagua kituo hicho jijini Dar es Salaa leo. Kifaa hicho kina uwezo wa kumuona mtu anayekuwa akifanya uhalifu kuhusu umeme kutoa eneo hilo la Ubungo hadi mahala popote atakapokuwa mwizi huyo.
TGNP Yaendesha Mafunzo ya Uongozi kwa Wanafunzi wa Kike kutoka Vyuo Vikuu
13 Nchini
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP), kupitia jukwaa la Young Feminist Forum,
wameendesha mafunzo kwa wanafunzi wa kike kuto...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment