Mwenyekiti wa Kampuni ya Sichuan Hongda kutoka China inayotaka kuwekeza Mradi wa Mkaa ya Mawe na Mkaa wa Chuma katika Vijiji vya Liganga na Mchuchuma Wilayani Ludewa Mkoani Iringa Bw. Liu Canglong katikati, akimkabidhi Zawadi Maalum Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, wakati Ujumbe wa Kampuni hiyo Ulipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya mazungumzo. Picha na Amour Nassor VPO.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal kushoto, akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Sichuan Hongda kutoka China inayotaka kuwekeza mradi wa Mkaa wa Mawe na Mkaa wa Chuma katika Vijiji vya Liganga na Mchuchuma Wilayani Ludewa Mkoani Iringa, wakati Ujumbe huo ulioongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo Liu Canglong uliofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya Mazungumzo.

No comments:
Post a Comment