Marehemu Dan Mapigano, enzi za uhai wake.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete, akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji Dan Mapigano nyumbani kwake Mwenge jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Marehemu Dan atazikwa leo jijini Dar es Salaam. Picha na Freddy Maro
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, akitoa mkono wa pole kwa Mjane mke wa Marehemu Dan, Florence Mapigano, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam leo mchana.
Mwenyekiti wa Chama cha Majaji wastaafu, Thomas Mihayo, akisoma risala kwa niaba ya wanachama wa chama hicho wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu leo.
Kutoka (kulia) Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, mkewe Magreth Sitta, Mke wa Marehemu Dan, Florence Mapigano, mtoto wa marehemu na Getrude Mongela, wakiwa katika shughuli ya kuaga mwili wa marehemu kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muun...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment