Mwigizaji wa siku nyingi aliyekuwa akiigiza na kundi la Mambo Hayo, Christina Innocent maarufu kama Mama Bishanga, ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani huku akisoma katika Chuo cha Howard, Washngton DC, akisomea masuala ya Production hususan katika fani ya filam. Hapa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo mchana, wakati wa mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO, ambapo aliwaasa wasanii wa Bongo kujiendeleza kielimu ili kuweza kufanya kazi zao kwa uhakika zaidi na kupata soko la Kimataifa. Kulia ni Henric Isaya maarufu kama Kenny, akimpa tafu Mama Bishanga katika mkutano huo.
Absa Bank Tanzania CEO Wins Top 100 Executive List Award
-
The Managing Director of Absa Bank Tanzania, Mr. Obedi Laiser, has been
named the 1st runner-up in the MD/CEO of the Year category at the
prestigious To...
24 minutes ago
No comments:
Post a Comment