Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akishiriki katika ufunguzi rasmi wa kikao cha 21 cha Marais na Wakuu wa nchi za Jumuia ya Afrika jijini Addis Ababa kilichoanza tarehe leo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na watoto Victoria Madebe (kushoto), Michael Lyaruu (kulia) na Damian Lubuva (Mwisho), waliofika uwanja wa ndege wa Bole kumpokea. Mama Salma Kikwete yupo Addis Ababa kuhudhuria kikao cha Wake wa wakuu wa nchi za Jumuia ya Afrika kinachoanza leo.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
Riadha : Rogath John Stephen Akhwari Rais Mpya -RT
-
Kocha wa Polisi Tanzania na Katibu Mkuu wa Riadha Chama cha Mkoa wa Arusha
Rogath John Stephen Akhwari amechaguliwa na wajumbe kuwa Rais wa Shirikisho
l...
KARIA : SITALIPA KISASI
-
*Aahidi bodi huru ya ligi
Na Rahel Pallangyo, Tanga
RAIS mteule wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia
ameahidi bodi huru ya...
‘NINJA’ HIMID MAO MKAMI NAYE AREJEA AZAM FC
-
KLABU ya Azam FC imemtambulisha kiungo Himid Mao Mkami (32) kuwa mchezaji
wake mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja hadi mwaka 2026 akitokea Ghazl El
Mahallay...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment