Mwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga, akizungumza na waandishi wa habari kwenye Ofisi za makao Makuu ya Klabu hiyo leo kuhusu mkutano wa Wanachama na Wakuu wa Matawi wa Klabu hiyo, uliofanyika jana na kupitisha azimio la kumsimamisha kutokana na kile kilichodaiwa kufanya maamuzi bila kuwashirikisha Viongozi wa Klabu hiyo ikiwa ni pamoja na mchakato wa kuanzisha Yanga Kampuni. Lloyd amesema kuwa hautambui mkutano huo uliofanyika jana na wala hakushiriki katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Habari wa Klabu hiyo, Luis Sendeu.
Jengo la Klabu ya Yanga ulipofanyika mkutano huo leo.
Jengo la Klabu ya Yanga ulipofanyika mkutano huo leo.
No comments:
Post a Comment