Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana,(kushoto) akionyesha kitabu chenye Alama za Taifa vijana 11 wanaotarajia kuondoka nchini kuelekea Japan, ambako watashiriki mpango wa vijana wa Meli ya Kimataifa na kuwataka kutumia muda wao wa kipindi cha miezi 3, wakiwa nchini humo kuitangaza Tanzania. Katikati ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana, Joyce Shaidi na Kiongozi wa msafara wa vijana hao,.Olav Mkopi.
KARIBU MONDULI, TUPO BEGA KWA BEGA NA SERIKALI
-
WANANCHI wa Jimbo la Monduli wamempokea kwa shangwe Mlezi wao wa Mkoa wa
Arusha ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) na kutuma
sa...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment