Wafanyabiashara wa nguo, viatu na vitu vidogodogo, wakiwa wamepanga biashara zao katika njia ya waenda kwa miguu nje ya Soko la Mchikichini Ilala Dar es Salaam. Pamoja na jitihada za Manispaa ya Ilala kuwaandalia mahala pa kufanyia biashara lakini bado Chinga hao wamekuwa wakikiuka taratibu na kuendelea na biashara zao katika maeneo yasiyoruhusiwa. Je ni lini sasa mkanganyiko huu utamalizika na wananchi wakazoea kuwafuata katika mahala husika pindi wanapowahitaji kwa huduma?
ASKARI POLISI MWIKWABE AKABIDHI KITI MWENDO KWA BINTI WA MIAKA 16
ALIYEPOOZA MWILI,ATOA NENO KWA WAZAZI
-
POLISI Kata ya Ikoma Tarafa ya Grumet Wilayani Serengeti mkoani Mara CPL
Emmanuel Mwikwabe amekabidhi kiti mwendo kwa mtoto Vaileth Enock(16)
mweny...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment