Baadhi ya Watalii kutoka nchi za Ulaya wakipata maelezo kutoka kwa mchuuzi wa mihogo ya kuchoma kuhusu chakula hicho wakati walipopita kwenye mtaa wa mchambawima mjini Zanzibar leo mchana wakiwa katika matembezi ya kujioneka sehemu mbalimbali za Kihistoria za Mjimkongwe. Picha na Matin Kabemba.
Wanahisa wa Benki ya CRDB waidhinisha Malipo ya Gawio la Shilingi Bilioni
130.6 kwa Mwaka wa Fedha wa 2023
-
Arusha 18 Mei 2024 - Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha kwa kauli moja
mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi 50
kwa ...
7 minutes ago
No comments:
Post a Comment