Baadhi ya Magari yakiwa yameegeshwa kandokando ya Barabara ya Kivukoni jijini Dar es Salaam, bila kujali wala kufuata taratibu za maegesho, lakini pamoja na kutokuwa ni sehemu maalum ya maegesho bado wanaofanya kazi ya kuegesha magari wamekuwa wakiwatoza ushuru watu wanaoegesha magari mahala kama hapa, jambo ambalo linasababisha mahala hapa kuonekana ni maegesho halali.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 5, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam May 5,
2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma za Magazet...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment