Habari za Punde

*WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS ATOA TATHIMINI ZA MKUTANO WA MAKUBALIANO YA MKUTANO WA 16

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Luoga, akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake Jijini Dar Es Salaam leo, kuhusu makubaliano ya Mkutano wa kumi na sita wa mkataba wa Mabadiliko ya Tabia Nchi Uliofanyika mwezi December Mjini Cancun nchini Mexico. Picha na Ali Meja Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.