Basi la Moro Best, linalofanya safari zake Dar Moro, leo limegongana uso kwa uso na gari mojawapo kati ya yaliyokuwa katika msafara wa Kiongozi wa Serikali, ukielekea Msoga na kusababisha kifo cha mtu mmoja, aliyetambulika kwa jina la Mkoma, dereva wa gari hilo, ambaye pia aliwahi kuwa dereva wa Viongozo mbalimbali wa Serikali
Mashuhuda wa ajali hiyo wameeleza kuwa dereva wa basi hilo alionekana kudharau msafara huo kwani tayari Pikipiki ya inayoongoza msafara ilishapita huku ikipiga kin’gora na magari ya eskoti lakini bado basi hilo halikuweza kukaa pembeni ili kupisha msafara huo na badala yake katika jitihada za kutaka kukwepa gari lililotii amri kwa kusimama, ndipo basi hilo lilikuwa likielekea kugonga gari hilo na mama Salma.
Ajali hiyo imetokea maeneo ya Ruvu mkoani Pwani, wakati gari hilo likijaribu kukwepa gari iliyokuwa imesimama ghafla ili kupisha Msafara huo.
Katika gari hili piwa walikuwapo na watu wengine ambao wameweza kunusurika na msiba huo utakuwa maeneo ya Makumbusho. Picha kwa hisani ya Michuzi

No comments:
Post a Comment